Post Top Ad
Friday, 8 May 2026
Thursday, 7 May 2026
UWAJIBIKAJI KWA NGO NA WADAU: KIPIMO CHA KULIPONYA TAIFA
KATIKA mchakato wa kuitafuta kesho ya Tanzania iliyojaa amani, Ripoti ya Jaji Chande imetoa mwongozo wa namna gani kila mdau anapaswa kuwaji...
KELELE ZA MITANDAONI VS. UKWELI WA KISAYANSI: FUNDISHO LA TUME YA JAJI CHANDE
DUNIA ya leo inatawaliwa na kasi ya taarifa za mitandaoni ambazo mara nyingi hukosa vichujio vya ukweli. Katika kipindi cha ghasia za Oktoba...
AMANI KAMA MSINGI WA KESHO: TAIFA LASIMAMA NA RIPOTI YA JAJI CHANDE
Baada ya matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Tanzania ilijikuta katika kipindi kigumu kilichoh...
RIPOTI YA JAJI CHANDE: BABY MADAHA AFUNGUKA MAZITO, ACHAGIZA UWAJIBIKAJI KUPONYA TAIFA
Mwanadada Baby Madaha, ambaye si tu ni msanii mwenye historia ndefu, bali pia ni mdau aliyeshiriki kikamilifu katika kutoa ushahidi mbele ya...
PROF. SHEMDOE AKEMEA UBAGUZI WA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM WAKATI WA MITIHANI
Na OWM - TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemd...
Wednesday, 6 May 2026
RIPOTI YA JAJI CHANDE: NI HATUA SAHIHI YA RAIS SAMIA KUREJESHA IMANI KWA TAIFA NA UCHUMI
Uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuunda Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 umetajwa ...
RAIS SAMIA HAJASAHAU 4R KUWEZESHA MARIDHIANO YA KITAIFA
WATANZANI wanaitakia mema Tanzania wanapaswa kuendelea kutetea maridhiano na amani na kukumbuka kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanz...
BUNGE LASIFIA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake madhubuti za kuhakikisha nchi inabaki katik...
RAIS RUTO ASISITIZA USHIRIKIANO WA KIKANDA KUFANIKISHA MAENDELEO YA PAMOJA
RAIS wa Kenya, William Ruto amewataka Wakenya wabadili mtazamo wao kuhusu Watanzania. Amesema mataifa hayo mawili si maadui bali ni ndugu wa...
DKT. WILLIAM RUTO AIPONGEZA NSSF TANZANIA KWA UWEKEZAJI WA DOLA ZAIDI YA MILIONI 51 NAIROBI
Rais wa Kenya, Mhe. Dkt. William Ruto, ameusifu uwekezaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wa Tanzania unaoendelea jijini Nairob...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.