WATUHUMIWA SITA WAACHILIWA HURU NA DPP KAHAMA BAADA YA KUKOSA NIA YA KUENDELEA NA MASHTAKA NKUMBI 22:25 0 Na: Neema Nkumbi Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kahama leo imawaachilia huru watuhumiwa sita waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya uny... Read more »
RAIS SAMIA: TUMEJIPANGA, TUTAILINDA NCHI HII KWA NGUVU ZOTE NKUMBI 21:42 0 Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa serikali yake itaendelea kulinda mipaka, usalama wa raia na mali zao kwa nguvu zote, akibainisha k... Read more »
MADIWANI MANISPAA YA KAHAMA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA SHERIA,TARATIBU NA MIONGOZO YA TAMISEMI NKUMBI 17:00 0 Katibu Tawala wa Wilaya ya Kahama Glory Absalum, akizungumza wakati wa kufungua kikao cha baraza la madiwani ambapo amewasisitiza madiwani h... Read more »
ASKOFU ANGLIKANA ASISITIZA MATUMIZI BORA YA MITANDAO NA AMANI NKUMBI 12:22 0 Viongozi wa dini na watumishi wa Mungu nchini wamewataka Watanzania kuendelea kulinda amani, kutumia mitandao ya kijamii kwa faida chanya, n... Read more »
WATANZANIA WAKUMBUSHWA TAHADHARI YA SAMWEL SITTA YA VIONGOZI WA DINI KUELEKEZA WAUMINI KAMA WANASIASA NKUMBI 12:07 0 Mvutano ulioibuka kufuatia kauli za hivi karibuni za Katibu wa TEC, Padri Charles Kitima, umeibua tena mjadala kuhusu mipaka ya ushiriki wa ... Read more »
KITIMA ATIKISA MISINGI YA BIBLIA YA MAMLAKA NA UCHUMI NKUMBI 11:53 0 Uchambuzi wa kauli ya Padri Charles Kitima unaonesha kuwa, mbali na mgawanyiko wa kijamii, kiongozi huyo anaonekana kukiuka misingi mikuu ya... Read more »
KAULI YA PADRI KITIMA YATISHIA UPONYAJI WA TAIFA NKUMBI 11:44 0 Kauli ya Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima,imezua taharuki nchini, ikitafsiriwa na wachambuzi wen... Read more »
KARNE YA AI: 'SADC BADO KUNA PENGO LA MAWASILIANO YA SAYANSI' NKUMBI 10:07 0 Na Veronica Mrema - Pretoria Ulimwengu wa sayansi na teknolojia unasonga kwa kasi ya ajabu. Mataifa makubwa duniani yanawekeza kwenye ubunif... Read more »
SHEREHE YA SIMBA WA SAANANE KUONGEZA HAMASA YA UTALII MWANZA NKUMBI 22:32 0 Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kisiwa cha Saanane, Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Dkt. Tutindaga George akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ... Read more »