WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUWA MABALOZI WA KAZI ZENYE TIJA ZA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN – RC MACHA
Na. Paul Kasembo – SHY RS. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha, ametoa wito kwa wazazi na walezi wa wanafunzi wa Shule ya Sekond...