JKT YATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO KWA VIJANA (HUHESO Digital Blog 13:25 1 Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 25,2022 Jijini Dar es Salaam waka... Read more »
KARANI WA SENSA AJITIA KITANZI (HUHESO Digital Blog 13:15 0 Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Richard Abwao, amesema kuwa Karani wa Sensa ambaye alikuwa ni mwalimu wa shule ya msingi Buchenjegele w... Read more »
MENEJA RUWASA RUMANDE KWA KUSHINDWA KUTEKELEZA MIRADI (HUHESO Digital Blog 13:03 0 Waziri wa Maji Jumaa Aweso, katikati ya mkutano na wananchi wa Kondoa Vijijini aliwaagiza polisi kumkamata na kumweka rumande Meneja wa RUWA... Read more »
KUPANDA KWA GHARAMA ZA MAISHA CHANZO WATANZANIA KUTOKULIPA KODI (HUHESO Digital Blog 12:37 0 Asilimia 39 ya Watanzania hawataki kulipa kodi wakihisi ni kubwa. Hayo yamebainishwa katika ripoti ya Uchumi na Tozo iliyozinduliwa na Taasi... Read more »
MWALIMU MKUU AANGUKA NA KUFARIKI AKIELEKEA SHULENI (HUHESO Digital Blog 12:22 0 Hali ya huzuni ilitanda katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Shitoto iliyoko Mumias Mashariki, Kaunti ya Kakamega baada ya mwalimu wao... Read more »
USAID KUBORESHA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII TANZANIA (HUHESO Digital Blog 11:52 0 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Dkt. Zainab Chaula akikata utepe wa gari kuashiria uzin... Read more »
ALIYEKUNYWA POMBE KUPITA KIASI AJIKUTA NDANI YA JENEZA KABURINI (HUHESO Digital Blog 11:41 0 Kaburi la Victor Hugo Mica Alvarez (30) Victor Hugo Mica Alvarez (30) MWANAUME mmoja anayefahamika kwa jina la Victor Hugo Mica Alvarez (30... Read more »
ABIRIA AFARIKI NDANI YA NDEGE (HUHESO Digital Blog 16:41 0 Ndege iligeuza safari kuelekea Morocco kwa ajili ya matibabu ya dharura Ndege ya kampuni ya ndege ya kenya - Kenya Airways iliyokuwa ikisafi... Read more »
MUME WA SPIKA WA BUNGE AHUKUMIWA SIKU TANO JELA (HUHESO Digital Blog 16:37 0 Mume wa Spika wa bunge la wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi amehukumiwa kifungo cha siku tano jela baada ya kukiri kisa cha kuendesha gar... Read more »
WALIOTUMA MAOMBI YA KUJIUNGA NA VYUO WAONGEZEKA KWA ASILIMIA 4 (HUHESO Digital Blog 16:33 0 Jumla ya waombaji 106,295 wametuma maombi ya kujiunga katika Vyuo 76 vilivyoidhinishwa kudahili. Aidha Jumla ya programu 757 zimeruhusiwa ku... Read more »
MSAKO WA MIFUKO YA PLASITIKI NYUMBA KWA NYUMBA (HUHESO Digital Blog 16:30 0 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza operesheni ya kukamata Mifuko ya plastiki iliyokatazwa kuanza rasmi Jumatatu ya A... Read more »
KARANI AJIFUNGUA KABLA YA KUANZA KUWAHESABU WANANCHI (HUHESO Digital Blog 16:27 0 Karani wa Sensa ya Watu na Makazi wilayani Bunda mkoa wa Mara amejifungua muda mfupi kabla ya kuanza kazi hiyo, hivyo kulazimika kuondolewa ... Read more »
WAFANYABIASHARA WATAKIWA KULIPA KODI KWA WAKATI KUEPUKA NA KUTOZWA FAINI (HUHESO Digital Blog 15:00 0 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa kikodi Kahama imetoa wito kwa wafanyabiashara kuwa na tabia ya kulipa kodi kwa wakati ili kuepuka ... Read more »
AFISA MIPANGO MIJI MBARONI KWA UBAKAJI NDANI YA GARI-KATAVI (HUHESO Digital Blog 14:54 0 JESHI LA POLISI Mkoa wa Katavi limemkamata na linamshikilia Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Mpimbwe Mkoani Katavi Dickson Beno Mwenda (... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 24 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 07:06 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatano tarehe 24 Agosti 2022 Read more »