ALIYEKUNYWA POMBE KUPITA KIASI AJIKUTA NDANI YA JENEZA KABURINI (HUHESO Digital Blog 11:41 0 Kaburi la Victor Hugo Mica Alvarez (30) Victor Hugo Mica Alvarez (30) MWANAUME mmoja anayefahamika kwa jina la Victor Hugo Mica Alvarez (30... Read more »
ABIRIA AFARIKI NDANI YA NDEGE (HUHESO Digital Blog 16:41 0 Ndege iligeuza safari kuelekea Morocco kwa ajili ya matibabu ya dharura Ndege ya kampuni ya ndege ya kenya - Kenya Airways iliyokuwa ikisafi... Read more »
MUME WA SPIKA WA BUNGE AHUKUMIWA SIKU TANO JELA (HUHESO Digital Blog 16:37 0 Mume wa Spika wa bunge la wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi amehukumiwa kifungo cha siku tano jela baada ya kukiri kisa cha kuendesha gar... Read more »
WALIOTUMA MAOMBI YA KUJIUNGA NA VYUO WAONGEZEKA KWA ASILIMIA 4 (HUHESO Digital Blog 16:33 0 Jumla ya waombaji 106,295 wametuma maombi ya kujiunga katika Vyuo 76 vilivyoidhinishwa kudahili. Aidha Jumla ya programu 757 zimeruhusiwa ku... Read more »
MSAKO WA MIFUKO YA PLASITIKI NYUMBA KWA NYUMBA (HUHESO Digital Blog 16:30 0 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza operesheni ya kukamata Mifuko ya plastiki iliyokatazwa kuanza rasmi Jumatatu ya A... Read more »
KARANI AJIFUNGUA KABLA YA KUANZA KUWAHESABU WANANCHI (HUHESO Digital Blog 16:27 0 Karani wa Sensa ya Watu na Makazi wilayani Bunda mkoa wa Mara amejifungua muda mfupi kabla ya kuanza kazi hiyo, hivyo kulazimika kuondolewa ... Read more »
WAFANYABIASHARA WATAKIWA KULIPA KODI KWA WAKATI KUEPUKA NA KUTOZWA FAINI (HUHESO Digital Blog 15:00 0 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa kikodi Kahama imetoa wito kwa wafanyabiashara kuwa na tabia ya kulipa kodi kwa wakati ili kuepuka ... Read more »
AFISA MIPANGO MIJI MBARONI KWA UBAKAJI NDANI YA GARI-KATAVI (HUHESO Digital Blog 14:54 0 JESHI LA POLISI Mkoa wa Katavi limemkamata na linamshikilia Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Mpimbwe Mkoani Katavi Dickson Beno Mwenda (... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 24 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 07:06 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatano tarehe 24 Agosti 2022 Read more »
RC SHINYANGA AHESABIWA (HUHESO Digital Blog 15:21 0 Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kulia) akizungumza na karani wa sensa ya watu na makazi Stella Lucas wakati akihesabiwa nyumban... Read more »
UKISAMBAZA UJUMBE WA KUPOTOSHA SENSA JELA (HUHESO Digital Blog 15:13 0 Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela amewaonya wananchi wanaotumia mitandao ya kijamii kupotosha juu ya zoezi la Sensa kuacha kusambaza upot... Read more »
NI KWELI MASWALI NI MENGI YANAJIBIKA-RAIS SAMIA (HUHESO Digital Blog 14:47 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewatoa hofu Watanzania kwamba maswali yatakayoulizwa yote yanajibika na kuwas... Read more »
DKT MPANGO, MAKAMU WA RAIS AHESABIWA (HUHESO Digital Blog 14:43 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakizungumza na Karani w... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 20 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 02:48 0 Tafadahali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumamosi tarehe 20 Agosti 2022 Read more »
21 WAKAMATWA PWANI KWA MAKOSA MBALIMBALI WAMO MATAPELI (HUHESO Digital Blog 16:22 0 Jeshi la polisi Mkoa wa Pwani limefanya msako mkali na kufanikiwa kuwakamata watu wapatao 21 kwa tuhuma za makosa mbali mbali likiwemo na ku... Read more »