RC SHINYANGA AHESABIWA (HUHESO Digital Blog 15:21 0 Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kulia) akizungumza na karani wa sensa ya watu na makazi Stella Lucas wakati akihesabiwa nyumban... Read more »
UKISAMBAZA UJUMBE WA KUPOTOSHA SENSA JELA (HUHESO Digital Blog 15:13 0 Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela amewaonya wananchi wanaotumia mitandao ya kijamii kupotosha juu ya zoezi la Sensa kuacha kusambaza upot... Read more »
NI KWELI MASWALI NI MENGI YANAJIBIKA-RAIS SAMIA (HUHESO Digital Blog 14:47 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewatoa hofu Watanzania kwamba maswali yatakayoulizwa yote yanajibika na kuwas... Read more »
DKT MPANGO, MAKAMU WA RAIS AHESABIWA (HUHESO Digital Blog 14:43 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakizungumza na Karani w... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 20 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 02:48 0 Tafadahali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumamosi tarehe 20 Agosti 2022 Read more »
21 WAKAMATWA PWANI KWA MAKOSA MBALIMBALI WAMO MATAPELI (HUHESO Digital Blog 16:22 0 Jeshi la polisi Mkoa wa Pwani limefanya msako mkali na kufanikiwa kuwakamata watu wapatao 21 kwa tuhuma za makosa mbali mbali likiwemo na ku... Read more »
MWANDOSYA BOSI MPYA EWURA SOMA HISTORIA YAKE (HUHESO Digital Blog 16:17 0 Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Mark Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati ... Read more »
MFANYABIASHARA WA MADINI MWANAMKE AFANYA MAPENZI NA MGANGA KUSAFISHIWA NYOTA (HUHESO Digital Blog 16:05 0 Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linamshikilia mwanaume aitwaye Simbuka Makande (62) mganga wa kienyeji mkazi wa Kijiji cha Magengase Mkoa wa ... Read more »
MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 19 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 07:16 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Ijumaa tarehe 19 Agosti 2022 Read more »
BASI LA TANZANITE LAPATA AJALI SINGIDA WATU WATANO WAFARIKI DUNIA (HUHESO Digital Blog 13:30 0 Watu watano wamefariki dunia akiwemo Mtoto mdogo katika ajali ya gari la Kampuni ya Tanzanite lenye namba za usajili T 916 DNU, ajali imet... Read more »
RAIS SAMIA ARIDHIA AGOSTI 23, 2022 SIKU YA SENSA NI MAPUMZIKO-WAZIRI MKUU ATHIBITISHA (HUHESO Digital Blog 12:50 0 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia tarehe 23 Agosti 2022 iwe siku ... Read more »
RAIS SAMIA SULUHU ASHIRIKI MKUTANO WA 42 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA SADC, KINSHASA NCHINI DRC (HUHESO Digital Blog 06:17 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya Viongozi, Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya ... Read more »
HASIRA ZA SIMBA ZAISHIA KWA GEITA GOLD (HUHESO Digital Blog 06:11 0 KLABU ya Simba imeanza vizuri kwenye ligi ya NBC mara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya timu ya Geita Gold, mchezo ambao uli... Read more »