RC MJEMA KUZINDUA CHANJO YA POLIO, KAHAMA (HUHESO Digital Blog 15:43 0 Na Taikile Turo-KAHAMA Zoezi la utoaji chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri wa miaka 0-5 wilayani Kahama mkoani Shinyanga lililotarajia ku... Read more »
USHURU WA PARKING WAREJESHWA HALMASHAURI (HUHESO Digital Blog 14:51 0 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa ameagiza kazi ya kukusanya ushuru wa maegesho ya m... Read more »
MADIWANI KUGAWIWA KONDOM (HUHESO Digital Blog 14:24 0 Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, limeanza kugawa mipira ya kiume na ya kike (Condom) kwa madiwani wake wo... Read more »
BAADHI YA HALMASHAURI ZASHUKA UKUSANYAJI MAPATO IKIWEMO MSALALA KWA 38% (HUHESO Digital Blog 13:36 0 Katika mwaka wa fedha 2021/22, Halmashauri zimepanga kukusanya Shilingi Bilioni 863.9 kutoka kwenye vyanzo vya mapato ya ndani. Katika kip... Read more »
NAFASI ZA KAZI BODI YA KOROSHO (HUHESO Digital Blog 10:45 0 The Cashewnut Board of Tanzania ( CBT ) Temporary vacancies, May 2022 is a corporate body established by the Act No. 18 of 2009. It is entru... Read more »
MUDA WAONGEZWA WA KUOMBA KAZI AFYA NA UALIMU, WAOMBAJI WAFIKA 158,186 (HUHESO Digital Blog 21:09 0 Neema kwa waombaji wa Ajira za Elimu na Afya @ortamisemi muda wa kuomba ajira hizo umeongezwa mpaka tarehe 08.05.2022 na sio leo tarehe 04... Read more »
WANANCHI WAFUNGA OFISI YA MWENYEKITI WA KIJIJI (HUHESO Digital Blog 15:17 0 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Sengerema mkoani Mwanza, Binuru Shekidele amesema ameanza kufuatia ili kubaini sababu za wananchi kufunga ofisi... Read more »
WATUMISHI 14 WA AMCOS WAFUKUZWA KAZI (HUHESO Digital Blog 15:13 0 Watumishi 14 ambao ni Wahasibu wa Vyama vya msingi vya Ushirika (AMCOS) Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, wamefukuzwa kazi huku afisa mwingin... Read more »
NAFASI YA KAZI TOKA UNEP TANZANIA (HUHESO Digital Blog 15:09 0 The United Nations Environment Programme (UNEP) is the leading environmental authority in the United Nations system. UNEP uses its expertise... Read more »
MPANGO WA KUINUA UFAULU MASHULENI (PIP) WA BARRICK BULYANHULU WAZIDI KUPATA MAFANIKIO NYANG’HWALE (HUHESO Digital Blog 14:50 0 Meneja wa Mahusiano ya Kijamii wa Barrick Bulyanhulu, Agapiti Paul akiongea kuhusu mafanikio ya mpango wa kuongeza Ufaulu * Mpango wa kuin... Read more »
KENYA WAWEKA MARUFUKU YA KUTOTOKA NJE (HUHESO Digital Blog 12:44 0 Serikali nchini Kenya imetangaz amri ya kutotoka ndani kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 12:00 asubuhi katika kaunti ya Marsabit, kufuatia vi... Read more »
NAFAZI ZA KAZI KUTOKA NIRAS TANZANIA (HUHESO Digital Blog 12:29 0 Nafasi za kazi kutoka NIRAS Tanzania changamkia fursa mwisho wa maombi ni tarehe 16 Mei 2022 nafasi inaweza kuwa yako hii. NIRAS Tanzania is... Read more »
NAFASI ZA KAZI TOKA TPA (HUHESO Digital Blog 11:31 0 Wahi mapema mwisho wa maombi wa kazi hii ni 15 Mei, 2022 PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.JA.9/259/01/A/78 On behalf of Tanz... Read more »
BEI MPYA YA MAFUTA YA PETROLI, DIZELI NA MAFUTA YA TAA (HUHESO Digital Blog 23:40 0 Bei mpya za mafuta ya Petroli, Diezeli na Mafuta ya zilizotolewa na EWURA zinazoanza tarehe 4 mei 2022. Read more »
SIMBA WAENDELEA KUANDAMWA NA SARE MECHI NNE MFULULIZO LIGI KUU (HUHESO Digital Blog 18:21 0 KLABU ya Simba Sc imelazimisha sare ya 2-2 dhidi ya timu ya Namungo Fc mchezo wa ligi ambao ulipigwa kwenye dimba la Ilulu Mkoani Lindi am... Read more »