MAGAZETI YA LEO IJUMAA APRILI 29, 2022 (HUHESO Digital Blog 00:46 0 Tafadhali pitia kurasa za magazeti ya leo Ijumaa tarehe 29 April 2022 Read more »
POLISI SHINYANGA YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI (HUHESO Digital Blog 00:32 0 Katika kuelekea maadhimisho ya Uhuru wa habari duniani,Klabu ya waandishi wa Habari mkoa wa Shinyanga imefanya mdahalo na Jeshi la Polisi,hu... Read more »
BREAKING NEWS: RAIS SAMIA ATANGAZA MAOMBOLEZO YA SIKU MBILI TANZANIA KUFUATIA KIFO CHA RAIS MSTAAFU MWAI KIBAKI. (HUHESO Digital Blog 00:09 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza siku mbili za maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki kilichotokea... Read more »
MGANGA TIBA ASILI JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA BINTI MIAKA 12 KISHAPU (HUHESO Digital Blog 23:13 0 Mahakama ya Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Gangira Makila (37) ambaye ni mganga wa Kienyeji mkazi w... Read more »
MWALIMU AUAWA NA MKULIMA KWA WIVU WA KIMAPENZI SIKONGE TABORA (HUHESO Digital Blog 15:29 0 Jeshi la polisi mkoani Tabora linamshikilia mtu mmoja aliyefamika kwa jina la Ibrahim Evalist mwenye umri wa miaka 33 kwa tuhuma za mauaji y... Read more »
ATAKAYETOA TAARIFA ZA UHALIFU KUZAWADIWA MILIONI MOJA - IGP SIRO (HUHESO Digital Blog 15:09 0 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema kwamba mwananchi yeyote atakayefanikisha kutoa taarifa na kukamatwa kwa mtuhumiwa an... Read more »
WATANZANIA WENGI WAINGIA SAFU YA MABILIONEA (HUHESO Digital Blog 12:48 0 Bilionea pekee wa Afrika Mashariki anatoka Tanzania, hii ni kwa mujibu wa ripoti ya kampuni ya utafiti ya New World Wealth and Henley & ... Read more »
AJALI YAUA WANNE GEITA (HUHESO Digital Blog 12:26 0 Watu wanne ambao ni askari wa Jeshi la Polisi wawili na mahabusu wawili wamefariki dunia, kwenye ajali iliyotokea katika kijiji cha Ibanda ... Read more »
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 28 APRIL 2022 (HUHESO Digital Blog 07:28 0 Tafadhali pitia kurasa za magazeti ya leo tarehe 28 April 2022 Read more »
KIFUNGO CHA MAISHA JELA KWA KULAWITI MTOTO WA MIAKA SABA KISHAPU (HUHESO Digital Blog 21:21 0 Mahakama ya wilaya Kishapu Mkoani Shinyanga imemhukumu kifungo cha maisha Jela Tine Christopher Mbembele (51) kwa kosa la kumlawiti mtoto mw... Read more »
MAMA AMCHOMA MWANAE KWA MAJI YA MOTO KISA KAIBA TAMBI SIMIYU (HUHESO Digital Blog 20:12 0 Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linamshikilia mama mmoja anayefahamika kwa jina la Mwamba Thomas (37) Msukuma kwa tuhuma za kumchoma na maji ... Read more »
WANANCHI WAFUNGA BARABARA BAADA YA KUGONGWA KWA MTOTO KAHAMA. (HUHESO Digital Blog 16:55 0 Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Festo Kiswaga ameiagiza kampuni inayohusika na ujenzi wa barabara ya Kahama-Ushetu kuhakikisha wa... Read more »
VIJANA WATUMIA PEDI KAMA KILEVI ZIMBABWE (HUHESO Digital Blog 16:11 0 Baadhi ya vijana nchini Zimbabwe wameripotiwa kuchukua kemikali zinazotumika kwenye taulo za kike (Pedi) na nepi (Diapers) na kuzitumia kama... Read more »