ORIJIN yaendelea kujitengenezea jina sokoni - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday, 10 August 2026

ORIJIN yaendelea kujitengenezea jina sokoni

 


Wiki moja baada ya kuzinduliwa rasmi, ORIJIN imeendelea kupata nafasi kwenye mazungumzo ya walaji wanaopenda kufuatilia bidhaa mpya zinazoingia sokoni.


Kwa mujibu wa taarifa ya uzinduzi, bidhaa hiyo imechochewa na herbs, roots na fruits za Kiafrika, ikiwa na mchanganyiko wa ladha ya uchungu na utamu unaolenga kuwapa watumiaji uzoefu tofauti.


Mbali na ubora wake, ORIJIN imeletwa katika aina tofauti zinazompa mtumiaji nafasi ya kuchagua kulingana na matumizi anayoyahitaji.


Kwa sasa ORIJIN Bitters ya mililita 750 inauzwa kwa Sh15,000, ORIJIN Bitters ya mililita 200 kwa Sh5,000 huku ORIJIN Mixed (RTD) ikipatikana kwa Sh3,000.


Kuendelea kuzungumzwa kwake baada ya uzinduzi kunaonyesha kuwa ORIJIN imeanza kujijengea nafasi yake miongoni mwa bidhaa mpya zinazovutia walaji nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso