WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AAGIZA TANROADS NA TARURA KUFANYA TATHMINI YA MIRADI TUNDUMA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, 17 December 2025

WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AAGIZA TANROADS NA TARURA KUFANYA TATHMINI YA MIRADI TUNDUMA


WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17, 2025 akizungumza na wakazi wa eneo la Tunduma mkoani Songwe ambapo yupo katika ziara ya kikazi ya kukagua uharibifu wa miundombinu ya umma na mali binafsi zilizoharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025.


Akizungumza katika mkutano huo Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewaagiza Watendaji Wakuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na TARURA kufanya tathimini ya miradi yote ambayo malipo ya awali yameshafanyika na hatua za ujenzi zilizofikiwa katika miradi hiyo.


Pia amewaagiza kuangalia kama utekelezaji wa miradi hiyo unaendana na kiwango cha fredha ambacho kimeshatolewa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso