INEC YATOA ANGALIZO KWA CHAMA CHA ACT - WAZALENDO KUHUSU LUHAGA MPINA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday, 22 September 2025

INEC YATOA ANGALIZO KWA CHAMA CHA ACT - WAZALENDO KUHUSU LUHAGA MPINA


Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiwa na Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej. Wawili hao walikua wapeperushe bendera ya chama cha ACT WAZALENDO kabla ya kuwekewa pingamizi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kuenguliwa katika mbio za kuwania kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso