DKT. BITEKO ASHIRIKI MAZISHI YA SPIKA MSTAAFU MHE. NDUGAI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday, 11 August 2025

DKT. BITEKO ASHIRIKI MAZISHI YA SPIKA MSTAAFU MHE. NDUGAI


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Agosti 11, 2025 ameshiriki mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai yaliyofanyika katika Kijiji cha Sujulile, wilayani Kongwa, Mkoa wa Dodoma.




Mazishi hayo yameongozwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi pamoja na Viongozi wa Dini.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso