DKT. BITEKO AHANI MSIBA WA MZEE MGANGA NGELEJA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday, 22 July 2025

DKT. BITEKO AHANI MSIBA WA MZEE MGANGA NGELEJA



Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ahani msiba wa Baba Mzazi wa William Ngeleja, Mzee Mganga Ngeleja aliyefariki Julai, 16, 2025 na kuzikwa jana (Julai 21, 2025) Kijijini kwake Bitoto, Wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso