MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA BENKI YA AFREXIM - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday, 26 June 2025

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA BENKI YA AFREXIM




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Afrexim Prof. Benedict Okey Oramah kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliyofanyika Abuja nchini Nigeria leo tarehe 26 Juni 2025.








Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa Benki ya Afrexim Prof. Benedict Okey Oramah, mazungumzo yaliyofanyika Abuja nchini Nigeria leo tarehe 26 Juni 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso