RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI UBORESHAJI WA TAARIFA ZA MPIGA KURA, AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday, 17 May 2025

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI UBORESHAJI WA TAARIFA ZA MPIGA KURA, AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma ambapo pia aliwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso