Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiingia katika Ukumbi wa Bunge kushiriki Mkutano wa kumi na tisa kikao cha thelathini na tatu leo Mei 27, 2025 jijini Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akiteta jambo na Mbunge Jimbo la Ilemela, Mhe. Angelina Mabula katika Mkutano wa kumi na tisa kikao cha thelathini na tatu leo Mei 27, 2025 jijini Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete katika Mkutano wa kumi na tisa kikao cha thelathini na tatu leo Mei 27, 2025 jijini Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. William Lukuvi katika Mkutano wa kumi na tisa kikao cha thelathini na tatu leo Mei 27, 2025 jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment