TIYARI NIMEPIGA KURA, WEWE JE?* - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, 27 November 2024

TIYARI NIMEPIGA KURA, WEWE JE?*




Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato leo Tarehe 27 Novemba 2024 amepiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Chuo Huria Mtaa wa Migera - Nshambya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso