NAWANDA AACHIWA HURU KESI TUHUMA ULAWITI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday, 29 November 2024

NAWANDA AACHIWA HURU KESI TUHUMA ULAWITI




Aliyekuwa RC Simiyu aachiwa huruIjumaa,


Mwanza. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahya Nawanda katika kesi ya kulawiti iliyokuwa ikimkabili.


Katika uamuzi wake kwenye kesi hiyo ya jinai namba 1883/2024, yenye kosa la kulawiti, uliosomwa na Hakimu, Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo Erick Marley.


Katika uamuzi huo, Hakimu Marley amesema mahakama hiyo baada ya kupitia maelezo ya ushahidi na vielelezo imejiridhisha kuwa hakukuwa na muunganiko wa ushahidi unaoweza kumtia mshtakiwa Dk Nawanda hatiani na hivyo kumwachia huru.


Soma hapa zaidi Chanzo Mwananchi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso