TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (INEC) YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KITAIFA-ARUSHA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 1 May 2024

TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (INEC) YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KITAIFA-ARUSHA





Baadhi ya Watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakisherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wakipita mbele ya jukwaa kuu.
Baadhi ya Watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakiwa katika maandamano ya Kuingia katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ambapo Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanafanyika Kitaifa.

Baadhi ya Watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakiwa katika Picha ya Pamoja wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa yanafanyika jijini Arusha.
Baadhi ya Watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakiwa katika Picha ya Pamoja wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa yanafanyika jijini Arusha


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso