RC MACHA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA VYOMBO VYA HABARI 'MEDIA DAY' SHINYANGA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 15 May 2024

RC MACHA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA VYOMBO VYA HABARI 'MEDIA DAY' SHINYANGA


Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akifungua Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari ‘Media Day’ Mkoa wa Shinyanga yanayofanyika leo Jumatano Mei 15,2024 katika ukumbi wa Karena Hotel Mjini Shinyanga yakiongozwa na Kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kimazingira’ 

 Picha na  Malunde 1 blogNo comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso