RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAIKO YA MUASISI WA UWT ZANZIBAR MAREHEMU ASHA SIMBA MAKWEGA GOZA MAELFU KATIKA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 15 May 2024

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAIKO YA MUASISI WA UWT ZANZIBAR MAREHEMU ASHA SIMBA MAKWEGA GOZA MAELFU KATIKA




SHARE




RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Viongozi mbalimbali katika Sala ya Maiti ya Marehemu Asha Simba Makwega Muasisi wa UWT pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sala hiyo iliyoongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, iliyofanyika katika Msikiti wa Maisara Wilaya ya Mjini Unguja na kuzikwa Kijijini kwao Pete Mkoa wa Kusini Unguja leo 8-5-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Viongozi mbalimbali katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, ya kumuombea Marehemu Asha Simba Makwega Muasisi wa UWT pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,baada ya kumlizika kwa Sala hiyo iliyofanyika,katika Msikiti wa Maisara Wilaya ya Mjini Unguja na kuzikwa Kijijini kwao Pete Mkoa wa Kusini Unguja leo 8-5-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka udongo katika kaburi likiwa na mwili wa marehemu Asha Simba Makwega, Muasisi wa UWT pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, wakati wa maziko yake yaliyofanyika kijijini kwao Pete Mkoa wa Kusini Unguja leo 8-5-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kutowa mkono wa pole kwa Wanafamilia ya Marehemu Asha Simba Makwega, baada ya kumalizika kwa maziko hayo yaliyofanyika katika Kijiji cha Pete Mkoa wa Kusini Unguja leo 8-5-2024.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso