Samia ateua viongozi Mahakama Kuu - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 4 April 2024

Samia ateua viongozi Mahakama Kuu


RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua, Sylvester Joseph Kainda kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeongeza kuwa Rais Samia amemteua Eva Kiaki kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama Kuu Tanzania.

Chiganga Mashauri Tengwa ameteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso