UMMY MWALIMU AMEPIGA MARUFUKU KWA VITUO BINAFSI KUWAONDOA WODINI WAGONJWA AMBAO NI WANACHAMA WA NHIF - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 1 March 2024

UMMY MWALIMU AMEPIGA MARUFUKU KWA VITUO BINAFSI KUWAONDOA WODINI WAGONJWA AMBAO NI WANACHAMA WA NHIF

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa Vituo Binafsi kuwaondoa wodini wagonjwa ambao ni wanachama wa NHIF mara baada ya saa 48 kupita toka kutolewa kwa Taarifa ya APHFTA. Amesema kufanya hivyo ni kuvunja sheria ya Madaktari, Madaktari wa Meno na wataalam wa afya shirikishi Sura ya 152 inayowataka madaktari kutositisha huduma kwa wagonjwa ambao tayari wanawahudumia na wale wagonjwa wa dharura.

Tafadhali fuatilia msisitizo toka kwa Waziri Ummy


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso