CHONGOLO ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA SONGWE - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday 9 March 2024

CHONGOLO ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA SONGWE

 Aliyekuwa Katibu Mkuu Mstaafu CCM ateuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe, hii ni baada ya yeye kumwandikia Rais Samia Kujiuzulu mwenyewe kuwa katibu Mkuu wa Chama, hivyo Rais Samia kwa kutambua umuhimu wake amemteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe. 


Daniel Chongolo Mkuu wa Mkoa wa Songwe

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso