MOROCCO WAFUNGASHIWA VIRAGO AFCON 2023 - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 31 January 2024

MOROCCO WAFUNGASHIWA VIRAGO AFCON 2023

Morocco wamefungashiwa virago katika Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) mbele ya timu ya Afrika Kusini. morocco iliyokuwa kundi moja na timu ya taifa ya Tanzania Taifa star,nayo imefikia kikomo chake baada ya dakika 90 ubao ulisoma Morocco 0-2 Afrika Kusini kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora.


Mabao yalifungwa na Evidence Makgopa dakika ya 57, Teboho Mokoena dakika 90+5 na ngoma itakuwa ni dhidi ya Cape Verde katika hatua ya robo fainali, Ivory Coast.


Wababe hao wamekutana na maajabu ya Afrika Kusini kwa kufungashiwa virago mapema walipokuwa wakipewa nafasi ya kufanya vizuri kwenye AFCON 2023.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso