BASI LA KAMPUNI YA ALLY'S LAGONGA TRENI YAUA WATU 13 NA 25 WAJERUHIWA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 29 November 2023

BASI LA KAMPUNI YA ALLY'S LAGONGA TRENI YAUA WATU 13 NA 25 WAJERUHIWA


Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally's lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Jijini Mwanza baada ya kugonga Treni za mizigo maeneo ya Manyoni leo Novemba 29,2023 majira ya Saa 11 alfajiri.


Picha na Marco MaduhuNo comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso