MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA SDGs – NEW YORK - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 19 September 2023

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA SDGs – NEW YORK






Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Malengo ya Maendeleo Endelevu unaofanyika katika Ukumbi wa Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani.(kutoka kulia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Matifa New York Balozi Hussein Katanga na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk N Mbarouk).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso