AJALI YA BASI LA ARUSHA EXPRESS YAUA WATANO PAPO HAPO MKOANI DODOMA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 13 November 2022

AJALI YA BASI LA ARUSHA EXPRESS YAUA WATANO PAPO HAPO MKOANI DODOMA



Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi la Arusha Express kugongana uso kwa uso na lori.

Ajali hiyo imetokea leo Jumapili Novemba 13, 2022 mchana eneo la Veyula Kata ya Makutupora mkoani Dodoma.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amethibiti ajali hiyo na kusema bado wanafuatilia chanzo cha ajali na athari zaidi zilizotokana na ajali hiyo.


"Ni kweli ajali hiyo ipo, watu watano wamepoteza maisha katika eneo la ajali na wengine kujeruhiwa na wamekinbizwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa kwa matibabu," amesema Otieno.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso