MTOTO WA MIAKA 10 ADAIWA KUMUINGILIA MWENZAKE - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 18 October 2022

MTOTO WA MIAKA 10 ADAIWA KUMUINGILIA MWENZAKE

Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 10 katika mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar (Jina linahifadhiwa) anadaiwa kumuingilia mtoto wakike mwenye umri wa miaka 2


Mama wa mtoto aliyefanyiwa kitendo hicho amedai kuwa aligundua tukio hilo wakati akimuogesha mtoto wake na alipomuuliza nani amefanya kitendo hicho alimtaja mtoto mwenzake kuwa anahusika


Jituhada za kumtafuta mama wa mtoto anayedaiwa kutenda kitendo hicho zimegonga mwamba baada ya kukataa kutoa ushirikiano


Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi Richard Thadeo Mchomnvu ameitaka jamii kuishi katika mila na desturi na kuwalea watoto katika misingi ya dini ili kuepuka matukio kama hayo

CHANZO:EATV

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso