TISA WAJERUHIWA KWA AJALI ARUSHA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 8 September 2022

TISA WAJERUHIWA KWA AJALI ARUSHA

 

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha amethibitisha kutokea wa Ajali iliyohusisha magari matatu ambapo ambapo amesema magari ajali hiyo imetokea jana September 7, 2022 usiku majira ya tatu na robo na kuhusisha gari no T.673 AXB aina ya scania lori yenye tela namba T.464 AWZ likiwa nacshehena ya mahindi likiwa linatokea Arusha kwenda namanga liliyagonga magari mengine matatu madogo ambayo ni T167 BRX aina ya nissan caravan.


Kamanda masejo amesema katika ajali hiyo imesababisha majeruhi tisa ambao wanapatiwa matibabu katika hospital ya rufaa ya mkoa wa Arusha Mount Meru kwa matibabu zaidi

CHANZO:LANGO LA HABARI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso