RAIS SAMIA ATETA NA RAIS WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday 10 September 2022

RAIS SAMIA ATETA NA RAIS WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha pamoja na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam








Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Iman D. Aboud aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Iman D. Aboud pamoja na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso