WANAOCHIMBA MCHANGA, NA KUMWAGA MAFUTA WANAHARIBU BARABARA-RAIS SAMIA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 22 July 2022

WANAOCHIMBA MCHANGA, NA KUMWAGA MAFUTA WANAHARIBU BARABARA-RAIS SAMIA




Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuacha tabia ya kuharibu miundombinu ya barabara, akisema kufanya hivyo kunasababisha hasara ya fedha zilizotumika kujenga.


Rais Samia ametoa rai hiyo jijini Arusha leo, Ijumaa Julai 22, 2022 wakati wa hotuba yake katika ufunguzi wa barabara ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass) yenye urefu wa kilomita 42.4.


“Niwaombe sana ndugu zangu kufuata taratibu zilizowekwa ili tuendelee kutunza miundombinu yetu, iendelee kutukuzia uchumi wetu,” amesema.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso