SHEREHE ZA TUZO ZA TFF KWA MSIMU WA 2021/2022 KUFANYIKA 07 JULAI 2022 - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 1 July 2022

SHEREHE ZA TUZO ZA TFF KWA MSIMU WA 2021/2022 KUFANYIKA 07 JULAI 2022


Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF linatarajia kufanya sherehe za utoaji wa tuzo kwa msimu wa 2021/2022 ambazo zitafanyika katika ukumbi wa Rotana Hotel, Dar es salaam.


Ukiachana na tuzo za kawaida zinazohusiana na mashindano kwa maana ya ubingwa na mshindi wa pili, Mshindi wa tau na wa nne pia kutakuwa na tuzo binafsi 57, zikiwemo zile zinazotolewa kwa mtu zaidi ya mmoja, mfano seti moja ya waamuzi, kikosi bora cha ligi kuu ya wanawake na kikosi bora cha ligi kuu ya NBC.


Fuatilia tuzo zote zitakazoshindaniwa hata chini.
No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso