RAIS ASEMA KUNA WANANCHI WANAVUJA DAMU NA KUANGUKA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 12 July 2022

RAIS ASEMA KUNA WANANCHI WANAVUJA DAMU NA KUANGUKA

                          Sanamu la Askari Dar es Salaam


Rais Samia amesema kwamba jarida la Africa Tour Magazine, limelitangaza jiji la Dar es Salaam, ni Jiji la sita kwa usafi barani Afrika, ambapo katika utambulisho wake akatumia nafasi hiyo kumpongeza Mkuu wa mkoa huo kwa kusimamia usafi.


Rais Samia ametoa kauli hiyo hii leo Julai 12, 2022, jijini Dar es Salaam, wakati wa madhimisho ya miaka 20 ya AMECEA.


"Tanzania tumetiwa moyo sana kwamba jiji la Dar es Salaam, limetangazwa na jarida la Africa Tour Magazine kuwa ni jiji la sita kwa usafi Barani Afrika, na tumetoka mbali kwa wale wanaoikumbuka Tanzania miaka ya nyunma tulikuwa na vijibanda na miamvuli kila pahali," amesema Rais Samia

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso