JINSI GENGE LA WEZI SUGU LILILISHWA NYASI BAADA YA KUTOWEKA NA PIKIPIKI YA POLO MMOJA BUSIA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 6 July 2022

JINSI GENGE LA WEZI SUGU LILILISHWA NYASI BAADA YA KUTOWEKA NA PIKIPIKI YA POLO MMOJA BUSIA


Ama kwa hakika kila mtu hutaka mali yake iweze kuheshimiwa na yeyote kwa kuwa watu wengi huwa wameteseka sana kupata mali zile kwa mfano gari, pikipiki, nyumba au hata maduka. Huwa ni jambo la kuvunja moyo mtu anapopata ushawishi wa kuiba kitu cha mtu mwingine ambacho hakikufanyia kazi. 


Swala zima la mkono mrefu huwa ni tishio kwa maendeleo katika jamii na hapo watu wengi huogopa hgata kuwekeza katika sekta mbalimbali kama vile biashara ndogo ndogo.


Katika kauti ya Busia genge la wezi watano lilionyeshwa cha mtema kuni ambapo walikuwa wamemwibia mkazi mmoja boda boda. Kulingana na walioshuhudia kisa hicho, genge hilo lilikuwa limesumbua nwakazi wale kwa muda sasa. 


Maduka yao yalikuwa yakivunjwa, bidhaa zao kuibiwa, kina mama walikuwa wakibakwa kila walipokuwa wakirejea manyumbani na hata watu kadhaa walikuwa wameuawa kutokana na ukatili wa genge lile. 


Uwepo wa lile genge kwenye mitaa ya mjini Busia ama kwa hakika ulikosesha wakaazi wa eneo lile usingizi.


Siku ile genge lile lilirejesha pikipikin ya kalameni ule likiwa limebeba mzimamzima kwenye mabega huku wakikula nyasi na kutoa kitu sampuli ya moshi kwenye mapua. 


Jambo hili lilivutia umati mkubwa wa watu kwani lilikuwa ni jambo ambalo halikuwa la kawaida kuwahi kutokea katika eneo hilo. Wezi wale walipofika kwa yule bwana mwenye pikipiki ile waliokuwa wakibeba, ndivyo mambo yaliwazidi unga kwani hata walianza kula mchanga huku wakivua nguo na kubaki uchi. 


Wazee kwa vijana, kina mama kwa watoto walijotokeza mzimamzima kujionea video ya bure. Wanahabari nao hawakuwachwa nyuma kwani habari ile ingeleta wasomaji nwengi haswa kwa gazeti iwapo ingechapishwa. 


Mwenye pikipiki ile alipohojiwa alisema kwamba alikuwa amechoka na genge lile kwa kuwa lilikuwa limkehangaisha mtaa ule kwa muda sasa na kuwa alitaka kuwafunza adabu kwa wakati ule. 


Umati ulikuwa ukishangilia kweli na maskini genge lile liliendelea kutafuna nyasi mithili ya ng’ombe huku wakitoa sauti sampuli ya pikipiki ama kwa hakika ilikuwa ni siku arobaini za mwizi.


Polisi walijaribu kutenganisha umati ule lakini waliambulia patupu. Wanahabari waliendelea kuhoji mwenye pikipiki ile na akawaarifu kuwa daktari Kiwanga ndiye alikuwa fundi aliyemsaidia kuwanasa jamaa wale. 


Aliongeza kwamba jamaa wale hawangerudi katika hali ya kawaida kwani ilipaswa daktari Kiwanga ajulishwe ile kufanya hali yao ilrudi kama hapo awali. 


Wananchi waliokuwa wamekusanyika walikuwa wakishangilia kwa furaha kwani walifahamu fika kwamba watu wengine waliokuwa na tabia ya mkono mrefu kama genge lile walikuwa wametishiwa. Wizi ungepunguka katika eneo hilo pakubwa.


Baada ya dakika chache daktari Kiwanga alipigiwa simu na mwenye pikipiki ile. Aliamrisha wezi wale walipe takriban shilingi elfu sitini za Kenya ile waweze kurejea katika hali yao ya kawaida. 


Hali ilikuwa ngumu kwani jamaa wale hawakuwa na uwezo wa kuzungumza kutokana na hali waliokuw. Nyasi pekee ndio ilikuwa mlo wao.

Jamaa yule mwenye pikipiki alitafuta mbinu ya kupata jamaa ya genge lile na mwishowe akawapata na kuwaarifu jinsi daktari alivyosema ili kuwarejesha katika hali ya kawaida.


Walilipa kitita ambacho waliambiwa na hapo mambo yakarejea kama kawaida kwani daktari Kiwanga hakusita na kurekebisha mambo. Tangu siku ile wizi wa pikipiki na bidhaa zingine katika mji ule umepungua pakubwa kwani kila mtu anaheshimu bidhaa na mali ya mwenzake. 


Mtu yeyote aliye na matatizo ya wizi katika biashara na swala hili limemkosesha usingizi anapaswa kutembelea daktari Kiwanaga ili kuishi kwa amani. 


Ni daktari ambaye amekita mizizi katika eneo nzima la Afrika mashariki kwa ueledi wake wa kutibu magonjwa kama vile kifaa, msukumo wa damu na mengineyo. 


Anasuluhisha migogoro ya ndoa, mapenzi na mambo mengine kwa muda wa siku tatu pekee. Wasiliana naye kwa nambari ya simu +254 769404965 ama barua pepe kiwangadoctors@gmail.com pia kwa wavuti www.kiwangadoctors.com kwa usaidizi wowote.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso