DIRISHA LA USAJILI CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII - HUHESO - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 17 July 2022

DIRISHA LA USAJILI CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII - HUHESO

                                     

Chuo cha Maendeleo ya Jamii cha HUHESO kimesajiliwa kwa mujibu wa Sheria na NACTEVET chenye usajili namba REG/BTP/131P Ambacho kinapatikana Manispaa ya Kahama katika Mkoa wa Shinyanga ambacho kinatoa kozi ya Maendeleo ya Jamii kwa ngazi ya Cheti (Certificate) mpaka Stashahada (Diploma). Ufaulu wa Kuanzia D nne za kidato cha nne na kuendelea.


Kozi ya Uandishi habari kwa ngazi ya Cheti (Certificate) mpaka Stashahada (Diploma). Ufaulu wa D nne na kuendelea za kidato cha nne.


Kozi ya Komputa kuanzia Miezi mitatu mpaka miezi sita aliyemaliza shule ya msingi na Sekondari anapokelewa.


Kozi ya Ushonaji kwa mwaka mmoja aliyemaliza shule ya msingi na Sekondari anapokelewa.


Ada zetu ni nafuu sana na zimepunguzwa kwa asilimia hamsini kama zinavyoonekana hapa chini.


Unaweza Kututembelea Chuoni kwa Maelezo zaidi Chuo kipo Barabara ya kuelekea Mhongolo maeneo ya Cafe Latino zamani ilijulikana kama Mkonge Shule ya Chekechea.



Dirisha la usajili lipo wazi wahi mapema nafasi ni chache, unaweza kuomba fomu ya kujiunga kwa kutuma email huhesocollege@gmail.com au unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0766426166 Mkuu wa Chuo, au 0765862130 Msajili wa Chuo.

Mwisho wa Maombi ni Tarehe 30 Julai 2022

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso