MAMA APORWA MWANAE NA NYANI MKOANI KIGOMA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 20 June 2022

MAMA APORWA MWANAE NA NYANI MKOANI KIGOMA


Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia.


Akizungumza leo Jumatatu Juni 20, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, James Manyama amesema tukio hilo limetokea Juni 18, 2022 katika kijiji hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso