ALI KIBA AJUMUIKA NA WATOTO WENYE UHITAJI ACHANGIA FEDHA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday 25 June 2022

ALI KIBA AJUMUIKA NA WATOTO WENYE UHITAJI ACHANGIA FEDHA

 NA SCOBA-HUHESO BLOG

Msanii wa Bongo fleva nchini Ali Kiba leo Juni 25, 2022 ametembelea kituo cha kulelea watoto wenye uhitaji cha MUVUMA katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga na kutoa misaada mbalimbali ikiwemo Sukari, Unga na vingine huku akichangia kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano katika kituo hicho.

 

Mbali na kituo hicho pia Ali Kiba ametoa shilingi milioni mbili na laki tano katika shule ya msingi Nyasubi wilayani humo ikiwa vyote hivyo ni mchango wake katika jamii pamoja na kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.


TAZAMA PICHA





















No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso