SIMBA YAPIGWA FAINI NA CAF TSHS MILIONI 23.2 - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 16 May 2022

SIMBA YAPIGWA FAINI NA CAF TSHS MILIONI 23.2

 


Shirikisho la soka Afrika (CAF) limeipiga faini ya USD 10,000 (Tsh milioni 23.2) Club ya Simba ya Tanzania kwa kosa la kuwasha moto katika pitch ya uwanja wa Orlando kabla ya mechi yake ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika vs Orlando Pirates.
Kitendo hicho cha Simba ambacho kilihusishwa na imani za kishirikina kimefanya waadhibiwe kwa faini hiyo ambayo wanatakiwa kuilipa ndani ya siku 60

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso