Tetesi za soka Ulaya - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 13 April 2022

Tetesi za soka Ulaya





Kiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba


Paris St-Germain wamemfanya kiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 29, kuwa mchezaji anayepewa kipaumbele cha kusiani nao mkataba wa kujiunga na timu hiyo. (Footmercato - in French)


Manchester City wako tayari kubadili kipengele cha Real Sociedad cha garama ya £50m (60m euros)cha kumuachilia mchezaji ili mradi wawezi kumpata kiung wa kati wa zamani wa Newcastle United na Uhuspania na Mikel Merino, 25. (El Confidencial, via Manchester Evening News)



Kiungo wa kati wa Wolves na Ureno Ruben Neves, 25, anasakwa na Arsenal. (Sky Sports)


Pep Guardiola yuko makini katika kumuongeza kiungo wa kati wa klabu ya River Plate Enzo Fernandez katika kikosi chake, ambapo amekuwa akimfuatilia kwa mchezaji huyo wa miaka 21-baada ya Manchester City kusaini mchezaji mwenzake na Julian Alvarez, 22,ambaye wametoka nchi mmoja katika mwezi wa Januari . (Goal)


Meneja wa Tottenham boss Antonio Conte anataka kuufanya mkataba wa mkopo wa mchezaj wa safu ya kati wa Sweden Dejan Kulusevski kutoka Juventus kuwa wa kudumu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 ataigarimu Spurs pauni milioni 29 (35m euros) juu ya euro milioni 10 ambazo tayari wamekwishalipa kwa mkopo miezi 18 . (Calciomercato - in Italian)

Mwenyekiti wa NBA Larry Tanenbaum na muasisi mwenza wa Facebook Eduardo Saverin wamejiunga na ushirika unaoongozwa na Boston Celtics muasisi mwenza Stephen Pagliuca unaotaka kuinunua klabu ya Chelsea. (Sky News, via Mirror)

CHANZO - BBC SWAHILI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso