Rais Samia Akutana na Kuasalimiana na wageni waliofika Kuangalia Royal Tour - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 22 April 2022

Rais Samia Akutana na Kuasalimiana na wageni waliofika Kuangalia Royal Tour








Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wageni mbalimbali waliofika kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour katika ukumbi wa Paramount, Los Angeles nchini Marekani leo 21 Aprili, 2022.












Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Ronald Fenty Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty ambaye alifika katika ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour leo tarehe 21 Aprili, 2022.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty ambaye alifika katika ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour leo tarehe 21 Aprili, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso