MATOKEO MABAYA YA BARCELONA YAMFUKUZISHA KAZI YA KOLEMAN - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 28 October 2021

MATOKEO MABAYA YA BARCELONA YAMFUKUZISHA KAZI YA KOLEMAN

 



Klabu ya Barcelona imemtimua kochwa wao Rinald Koeman mara baada ya muendelezo wa matokeo mabaya tokea msimu kuanza.

Usiku wa kuamkia jana Barcelona imepokea kichapo kutoka kwa Rayo Vollacano kwa bao 1-0 na kuwafanya kushika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa Ligi.

Makocha kadhaa wametajwa kuchukua mikoba ya Mholanzi huyo huku Xavi Hernandez akiwa mmoja wa makocha hao watakao chukua nafasi hiyo.

Katika msimamo wa La Liga mpaka sasa Real Madrid wanaongoza wakiwa wamecheza michezo 10 na kujinyakulia pointi 21

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso