TADIO WATOA MAFUNZO KWA WANACHAMA JUU YA UONGOZI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 3 December 2020

TADIO WATOA MAFUNZO KWA WANACHAMA JUU YA UONGOZI

 Wanachama wa mtandao wa Tadio wamepatiwa mafunzo ya siku tano kuhusu uongozi, Mafunzo hayo yamehudhuriwa na wanachama ambao ni wamiliki na wakurugenzi wa Redio Jamii Tanzania ambao ni wanachama wa Tadio.

Mafunzo haya ya siku tano yamefanyika Jijini Arusha katikaHotel ya Arusha Corridor Spring ambapo mwezeshaji wa mafunzo hayo alikuwa ni ndugu Amani Shayo toka Kampuni ya Empower Limited ya jijini Dar es salaam ambyo ni mtaalam katika nyanja ya Uongozi, Mipango na utawala.


Mwenyekiti wa Tadio Ndugu Prosper Kwigize akiteta jambo katika baadhi ya kazi za vikundi zilizotolewa na mwezeshaji.

Washiriki wakiwa katika mjadala katika vikundi


Washiriki wa Mafunzo wakitengeneza mfano wa Mnara wa kurushia Matangazo


Washiriki wakijadili katika kazi za vikundi

Washiriki wa warsha wakisikiliza kwa makini mwezeshaji wa mafunzo




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso