PROF. JUMA: DEMOKRASIA YA KWELI NI PAMOJA NA KUSTAHIMILI MAONI YA WENGINE NKUMBI 20:10 0 Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani na Jaji Mkuu Mstaafu, Profesa Ibrahim Hamis Juma, ametoa onyo dhidi y... Read more »
ADC YAPONGEZA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MACHAFUKO YA UCHAGUZI 2025 NKUMBI 20:04 0 Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamed, ameimwagia sifa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wak... Read more »
SERIKALI YAFUNGA RASMI KAMBI YA NDUTA: WAKIMBIZI 165,394 KUREJEA BURUNDI NKUMBI 19:51 0 Kambi ya Wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, iliyokuwa inahifadhi jumla ya wakimbizi 165,394 kutoka nchini Burundi, ... Read more »
WIKI YA ZIMAMOTO DUNIANI: ZIMAMOTO KAHAMA WATOA ELIMU YA UTUNZAJI WA VISIMA VYA MAJI YA KUZIMIA MOTO, NA ELIMU YA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO KWENYE MASOKO NKUMBI 15:34 0 Mkuu wa kituo cha jeshi la zimamoto na uokoaji wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga mkaguzi msaidizi Hafidhi Omari (wa kwanza kulia), akitoa el... Read more »
DCEA YAKAMATA MAGUNIA 133 YA BANGI, YATEKETEZA HEKARI 68 MKOANI TABORA, WATU 7 WAKAMATWA NKUMBI 21:30 0 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na kamati ya ulinz... Read more »
WAZIRI MAKONDA AWATAKA WANAHABARI KUJIRIDHISHA NA TAARIFA NKUMBI 21:24 0 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda, ametoa wito kwa waandishi wa habari nchini kuhakikisha wanajiridhisha na v... Read more »
UFAFANUZI WA KISHERIA WAKOMESHA MJADALA WA JWTZ KUWAPO BARABARANI OKTOBA 29 NKUMBI 21:22 0 Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika hivi karibuni, Tume ya Kuchunguza Matukio ya Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ilitoa u... Read more »
WATANZANIA TUDUMISHE AMANI, TUEPUKE KUGAWANYIKA KWA MASLAHI YA WACHACHE NKUMBI 18:20 0 Na. Mwandishi Maalum Nawapongeza kwa dhati Watanzania kwa kuendelea kudumisha umoja wa kitaifa, amani na mshikamano katika kipindi hiki tuna... Read more »
Picha : MAKONDA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI... 'ACHENI KUTANGAZA WATU, TANGAZENI NCHI" NKUMBI 18:18 0 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda akizungumza kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Ha... Read more »
WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI KWA WELEDI NKUMBI 15:48 0 Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakjati akifun... Read more »
RIPOTI YA JAJI CHANDE: UKWELI MCHUNGU KWA SERIKALI NA DAWA YA UPOTOSHAJI MITANDAONI NKUMBI 11:26 0 Watanzania wanapaswa kuelewa kuwa mwanzo wa kuponya majeraha ya taifa letu ni kuacha kusikiliza kelele na upotoshaji unaosambazwa mitandaoni... Read more »
MAONO MAPYA BAADA YA RIPOTI YA JAJI CHANDE NKUMBI 11:23 0 Ripoti ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 iliyowasilishwa na Jaji Chande imeweka wazi ukweli usiopingika ... Read more »
YERICKO NYERERE AHIMIZA MARIDHIANO JUMUISHI YA KITAIFA KUELEKEA KATIBA MPYA NKUMBI 23:25 0 Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko Nyerere, ametoa mtazamo wake kufuatia ripoti ya Tume ya Jaji Chande akisisitiza kuwa m... Read more »