UWEKEZAJI WA NSSF WA MZIZIMA TOWERS KUFUNGUA FURSA MPYA ZA BIASHARA NA UTALII DAR NKUMBI 11:54 0 *Yafikia Asilimia 91, Kukamilika Desemba 2026 Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Serikali imesema mradi wa uwekezaji wa ujenzi wa jengo la ... Read more »
ACHAGIZA AMANI NA MSHIKAMANO KATIKA FUTARI YA PAMOJA UKEREWE NKUMBI 20:01 0 Katika hafla ya futari ya pamoja iliyofanyika wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, Mkuu wa Wilaya hiyo, Mheshimiwa Christopher Ngubiagai, ametoa... Read more »
MIKOPO YA ASILIMIA 10 YAPELEKA MABADILIKO NACHINGWEA KUTOKA JEMBE LA MKONO HADI TREKTA NKUMBI 19:58 0 Dhamira ya Serikali ya kuwakwamua wananchi kiuchumi imepata kielelezo cha vitendo wilayani Nachingwea, baada ya vikundi 30 vya vijana, wanaw... Read more »
MAKAMU WA RAIS DK. NCHIMBI KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA MITANO YA HAYATI MAGUFULI CHATO NKUMBI 19:55 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Emmanuel Nchimbi, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya miak... Read more »
MKAKATI WA MATOKEO: KIWANDA KIPYA CHA TSN KULENGA GAWIO NA MASLAHI YA WATUMISHI NKUMBI 19:51 0 Serikali imebainisha kuwa kukamilika kwa kiwanda cha uchapaji cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kutakuwa mhimili mkuu wa kiuchumi kw... Read more »
SERIKALI, CEO ROUNDTABLE WAUNGANA KUONDOA 'KIKWAZO' CHA MATIBABU KWA BIMA YA AFYA NKUMBI 19:45 0 Utekelezaji wa Sera ya Afya na Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 umepata msukumo mpya kufuatia hatua ya Serikali kuimarisha mashirikiano na... Read more »
MBUNGE NGAYIWA AANDAA FUTARI KAHAMA, AKUTANA NA WANANCHI KUBADILISHANA MAWAZO NKUMBI 22:16 0 Na Paul Kayanda, Kahama Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Benjamin Lukubha Ngayiwa, Machi 15, 2026 ameandaa futari maalum iliyowakutanisha w... Read more »