BILIONI 79 KUSHUSHWA KUIMARISHA ULINZI: VITUO VYA POLISI 698 KUJENGWA NCHI NZIMA NKUMBI 19:37 0 Serikali imetangaza mpango mkambe wa kuimarisha usalama wa raia na mali zao nchini kwa kutenga zaidi ya Shilingi bilioni 79 kwa ajili ya u... Read more »
AKILI UNDE: NYENZO MPYA YA KUKUZA UCHUMI NA MAGEUZI YA KIFIKRA NKUMBI 19:22 0 Katika ulimwengu unaokwenda kasi kidijitali, matumizi ya teknolojia ya Akili Unde (AI) yanapaswa kutazamwa kama fursa ya kiuchumi na si ch... Read more »
JAJI MKUU MASAJU: UTOAJI HAKI SI WA MAELEKEZO, NI WAJIBU WA KIKATIBA NKUMBI 11:27 0 Uimara wa mhimili wa Mahakama unategemea utayari wa viongozi wake kutenda kazi kwa uaminifu na kuzingatia viapo vyao bila kutetereka wala ... Read more »
UPINZANI NA MAENDELEO: MBUNGE ADO AFUNGUA UKURASA MPYA KUTEKELEZA DIRA YA 2050 TUNDURU NKUMBI 11:16 0 Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu Ado, amesisitiza kuwa nafasi ya upinzani nchini si kuping... Read more »
MAPINDUZI YA KIDI JITALI TRA: JINSI UBUNIFU WA VIJANA UNAVYOKWENDA KUZIBA MIANYA YA KODI NA KUIMARISHA UCHUMI WA TAIFA NKUMBI 11:13 0 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetikisa anga la teknolojia nchini baada ya kuwatangaza na kuwazawadia vijana wabunifu walioleta masuluh... Read more »
UTULIVU WA TAIFA NDIO MUHIMILI WA AJIRA NKUMBI 10:37 0 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu, amebainisha kuwa mafanikio ya mipango ya Serikali katika kuta... Read more »
TFF KUJENGA KITUO CHA KUKUZA VIPAJI KAHAMA NKUMBI 20:16 0 Na Neema Nkumbi, Kahama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema shirikisho hilo linatarajia kujenga kitu... Read more »
UWEKEZAJI WA BILIONI 700 KILOMBERO NI ZAIDI YA UZALISHAJI SUKARI NI MAPINDUZI YA TEKNOLOJIA NKUMBI 16:31 0 Uwekezaji wa kihistoria wa Shilingi bilioni 700 katika upanuzi wa kiwanda cha Kilombero Sugar siyo tu habari ya takwimu za serikali, bali ni... Read more »
MAONO YA SAMIA YAZAA MATUNDA: GAWIO KWA SERIKALI LAPANDA KWA 357%, AJIRA ZA VIJANA ZAPEWA MSTARI WA MBELE NKUMBI 16:27 0 OFISI ya Msajili wa Hazina imetoa takwimu zinazoashiria mapinduzi makubwa ya kiuchumi nchini Tanzania, ikibainisha kuwa kampuni ambazo ser... Read more »
MKWASA AFUNDA SKAUTI UKOMBOZI WA UCHUMI KWA VIJANA NKUMBI 16:19 0 MJUMBE wa Bodi ya Chama cha Skauti Tanzania, Betty Mkwasa, amewahimiza vijana wa skauti nchini kote kutumia mafunzo ya uongozi wanayopata ku... Read more »
ULEGA APELEKA USHAWISHI KWA WAHANDISI VIJANA KUTATUA KERO ZA TAIFA NKUMBI 16:17 0 WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wahandisi nchini kuacha mazoea ya kuandika maandishi mengi yasiyo na tija na badala yake wajik... Read more »
WANANCHI PERAMIHO, SHIWINGA KUPIGA KURA KESHO KUCHAGUA MBUNGE, DIWANI NKUMBI 14:23 0 Na Mwandishi wetu, Ruvuma Wapiga Kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki katika uchaguzi wa kucha... Read more »
UJENZI WA TAASISI IMARA KWA RASLIMALI ZA NDANI JIBU KELELE ZA MTANDAONI NKUMBI 09:36 0 Wakati kelele na upotoshaji wa "watu wa hovyo" mitaandaoni ukijaribu kufifisha juhudi za maendeleo, Tanzania inazidi kupiga hatua ... Read more »