SERIKALI IKIENDA MBELE YATAKA WATENDAJI KUACHA KUWA VIKWAZO NKUMBI 09:52 0 KATIKA kile kinachoonekana kuwa ni muendelezo wa falsafa ya Serikali ya Awamu ya Sita ya "Kazi Iendelee" kwa vitendo na matokeo ya... Read more »
VITA YA AJIRA: Dkt. Bashiru na Operesheni ya Kuiondoa Tanga Fresh Kwenye Jeneza NKUMBI 09:46 0 Sio tu kikao cha tathmini, bali ni operesheni ya uokozi. Ndivyo unavyoweza kuelezea hali iliyojiri jijini Tanga wakati Waziri wa Mifugo na U... Read more »
MAAGIZO YA KIHONGOSI YANAONESHA TAIFA LINALODAI UWAJIBIKAJI NKUMBI 09:35 0 KATIKA hali inayozidi kuonesha kuwa CCM imedhamiria kusafisha urasimu na uzembe katika usimamizi wa rasilimali za umma, Katibu wa NEC, Itika... Read more »
WAZIRI SANGU ARIPUA CHECHE ZA MARIDHIANO NKUMBI 09:27 0 KATIKA kile kinachoonekana kuwa ni mkakati kabambe wa Serikali ya Awamu ya Sita kuimarisha misingi ya umoja na utulivu wa kitaifa, Waziri wa... Read more »
SERIKALI YAIFUNGUA KIGOMA KIUCHUMI: MIRADI YA BANDARI YAFIKIA HATUA NZURI NKUMBI 19:15 0 NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile (Mb), ameeleza kuridhishwa kwake na maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati mkoani Ki... Read more »
MASAUNI: VIJANA KUWENI WALINZI EPUKENI SUMU YA UDINI NA UKABILA NKUMBI 19:12 0 WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ametoa wito kwa vijana nchini kuwa walinzi w... Read more »
ZIWA NYASA LAFUNGULIWA KITALII: BOTI YA KISASA YA 'LUNDO ISLAND TOURS' YAZINDULIWA NKUMBI 19:09 0 WILAYA ya Nyasa mkoani Ruvuma, imetajwa kuwa kitovu kipya cha utalii nchini kutokana na kusheheni vivutio vya kipekee vikiwemo visiwa vya ku... Read more »
DKT. NDOMBA: CHOCHEENI MABADILIKO, LINDENI MISINGI YA UTAMADUNI NKUMBI 19:07 0 MSOMI na mtaalamu wa historia, Dkt. Hubert Ndomba, ametoa mwito kwa jamii kuwa na umakini wa hali ya juu katika kupokea mabadiliko yanayolet... Read more »
VITA YA KIUCHUMI: TRA YAZIAMURU BANDARI KAVU KUFANYA KAZI SAA 24 KULINDA MAPATO NKUMBI 19:00 0 KATIKA kile kinachoonekana ni muendelezo wa mapambano ya kuimarisha uchumi wa Taifa, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusu... Read more »
MUFTI: MKUTANO MKUU WA TFF NI HESHIMA KUBWA KWA KAHAMA NKUMBI 18:59 0 Na Neema Nkumbi, Kahama Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Azan Mufti, amesema kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa shir... Read more »
SIRI YA TRILIONI 2.7 ZA INDIA YAFICHUKA: IMANI KWA SAMIA YAFUNGUA MILANGO YA MAENDELEO LONGIDO NKUMBI 20:10 0 DIPLOMASIA ya uchumi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa matunda baada ya Serikali ya India kupitisha bajeti ya kihistoria y... Read more »
ACHENI KUBEZA UWEKEZAJI WA WAZAWA, NI NGUZO YA MAENDELEO NA AFYA YA JAMII NKUMBI 20:06 0 SERIKALI imewataka wananchi kote nchini kuacha tabia ya kubeza na badala yake kuanza kuwathamini na kuwakumbatia wawekezaji wazawa, ikiele... Read more »
RAIS SAMIA: RARUENI MIOYO YENU, MSUJUDU KWA SHUKRAN NKUMBI 20:00 0 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito mzito kwa waumini wa dini za Kikristo na Kiislamu ... Read more »