MKURUPUKO WA FIKRA: DK. MAPONGA ATEMA CHECHE, AWATAKA WATANZANIA KUAMKA NKUMBI 09:34 0 Mwanafalsafa na mwanadiplomasia nguli barani Afrika, Dkt. Joshua Maponga, ametoa mwongozo mzito kwa Watanzania, akisisitiza kuwa ufunguo wa ... Read more »
MAPAFU YA AJIRA YANAVYOPUMUA: SIKU 100 ZA RAIS SAMIA MAENEO MAPYA YA VIWANDA MIKOA 11 NKUMBI 09:21 0 Katika kipindi cha siku 100 za kwanza tangu kuanza kwa muhula mpya wa uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya Uchaguzi Mkuu, sekta... Read more »
TUME INALINDA FARAGHA ZA WATOA USHAHIDI - PROF. IBRAHIM JUMA NKUMBI 20:41 0 Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, Jaji Mku... Read more »
MKURUGENZI MKUU WA NSSF AONGOZA KAMPENI YA UTOAJI ELIMU NA UANDIKISHAJI WANACHAMA SOKO LA MABIBO NKUMBI 17:46 0 Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Aongoza Kampeni ya Utoaji Elimu na Uandikishaji Wanachama Soko la Mabibo Na Mwandishi Wetu, Read more »
WATENDAJI WA UCHAGUZI PERAMIHO WATAKIWA KUVISHIRIKISHA VYAMA VYA SIASA NKUMBI 14:55 0 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele akizungumza leo tarehe 24 Januari, 2026 mkoa... Read more »
TANZANIA HAIENDESHWI KWA ‘RIMOTI’, DKT. MWIGULU AFUNGUKA KUHUSU MARIDHIANO NKUMBI 10:12 0 Waziri wa Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa msimamo mkali dhidi ya wanaharakati wanaoishi nje ya nchi wanaopinga azma ya Serikali ya k... Read more »
GATSBY AFRICA YAELEZA SIRI YA MIAKA 25 UWEKEZAJI TANZANIA NKUMBI 10:04 0 Uamuzi wa taasisi ya Gatsby Africa kufanya kazi nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 25 sasa unatokana na misingi imara ya utulivu wa kisiasa ... Read more »
VITA DHIDI YA UKWEPAJI KODI KIMATAIFA: MKAKATI MPYA WA TRA KULINDA UCHUMI NA MAPATO NKUMBI 09:46 0 Katika kuelekea mapinduzi makubwa ya usimamizi wa kodi na kuimarisha uchumi wa Taifa, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza mkakati mp... Read more »
MV NEW MWANZA: MKOMBOZI WA UCHUMI NA BIASHARA KANDA YA ZIWA NKUMBI 08:35 0 Kukamilika na kuzinduliwa kwa meli ya kisasa ya MV New Mwanza, kumeleta matumaini mapya ya kiuchumi kwa mamilioni ya wakazi wa mikoa ya Kand... Read more »
KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI CHAANZA KULETA TIJA, SANGU APONGEZA UWEKEZAJI WA NSSF NA MAGEREZA (HUHESO Digital Blog 18:20 0 Na MWANDISHI WETU,Morogoro. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, ameridhishwa na hatua kubwa y... Read more »
WANANCHI WATAKA AMANI KUCHANGAMKIA FURSA NA KULINDA MSHIKAMANO WA KITAIFA NKUMBI 09:32 0 Wakazi na wafanyabiashara wadogo katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani wametoa wito kwa Watanzania wote kudumisha amani na utul... Read more »
VIJANA WA KITANZANIA UGHAIBUNI WANAVYOIPANDISHA CHATI NCHI YAO NKUMBI 09:18 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea ujumbe wa vijana wa Kitanzania waishio nchini Oman, ambao... Read more »
KWA NINI SERIKALI KUWEKEZA KWA "CONTENT CREATORS" SIYO ANASA, BALI NI UWEKEZAJI NKUMBI 09:13 0 Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka mjadala potofu mitandaoni unaodai kuwa hatua ya Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Mhe. Rais Dkt.... Read more »
TANZANIA NA MAREKANI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIJESHI NKUMBI 09:05 0 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Marekani zimeendelea kuimarisha mahusiano yake ya kidiplomasia na kijeshi kwa l... Read more »
DATA NI DHAHABU: PDPC Sasa Kubana Makampuni ‘Yanaichezea’ Siri za Watanzania NKUMBI 09:04 0 TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) sasa inataka kuhakikisha kuwa kampuni hazichezei siri zako. Katika ulimwengu wa sasa wa TEHAMA, t... Read more »