Post Top Ad
Friday, 2 January 2026
Thursday, 1 January 2026
MAFANIKIO YA KIUCHUMI 2025: TUSIYAPOTEZE KWA KUKOSA SUBIRA NA KUKUBALI USHAWISHI WA UOVU
Katika salamu za kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa taswira ya matumaini kwa kuanika ...
SURA MPYA YA MITANDAO: KATI YA UHURU WA MAONI, KIZAZI CHA KEJERI NA JINAMIZI LA MALEZI YALIYOFELI
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na wimbi kubwa la mijadala kwenye mitandao ya kijamii inayoashiria kuwepo kwa mafarakano, shutuma, na...
USHINDI WA TAIFA STARS: TUNDA LA MIPANGO, DIPLOMASIA NA UTULIVU WA TAIFA
Ushindi wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, wa kufuzu hatua ya 16 bora katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nch...
TUME YA MARIDHIANO: DARAJA LA KUELEKEA 2026 YENYE MATUMAINI MAKUBWA YA USTAWI
Uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa, kama alivyotangaza katika hotuba yake ya kuukaribisha mwaka 2026...
ONYO LA RAIS SAMIA: ITIKADI ISALIMU AMRI KWA UZALENDO TUNAPOINGIA MWAKA 2026
Hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuukaribisha mwaka 2026 imetoa dira muhimu kuhusu mustakabali wa amani ya Tanzania, ikisisitiza k...
AMANI YATAWALA TANZANIA, WANANCHI WAHIMIZWA KUENDELEA NA UZI HUO HUO
JESHI la Polisi Tanzania limetoa taarifa rasmi kwa umma likiwashukuru wananchi kwa kuonyesha uzalendo na utulivu mkubwa wakati wa kuupokea m...
Wednesday, 31 December 2025
DC NKINDA ACHUKUA HATUA ZA HARAKA KUTATUA KERO YA BARABARA MHONGOLO NA NYASHIMBI, KAHAMA
Na Neema Nkumbi, Kahama Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda, amechukua hatua za haraka kutatua changamoto ya miundombinu ya barabara...
TAIFA KUBWA LINASIMAMA: KWANINI HATUPASWI KUYUMBISHWA NA NJAMA ZA JANUARI MOSI
Tanzania inashuhudia mapinduzi makubwa ya kiuchumi ambayo hayajawahi kutokea. Takwimu za Mamlaka ya TISEZA zilizowasilishwa na Waziri wa Mip...
AMANI YA TANZANIA DHAMANA KWA VIJANA
Katika viunga vya Soko la Uyaoni, Maili Moja, na mitaa ya Simbani mkoani Pwani, sauti za wananchi zinatoa mwangwi mmoja: Amani ya Tanzania s...
JENERALI MKUNDA AKUTANA NA TUME YA UCHUNGUZI
Kwanini Jenerali Mkunda amekutana na Tume ya Uchunguzi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, Desemba 30, 2025, amefika mbe...
AMANI YA TANZANIA: TUNU YA MUNGU NA NGAO YA MAENDELEO YETU
Sauti za wananchi kutoka Sauti za wananchi kutoka Maili Moja, mkoani Pwani, zinatoa mwangwi wa umuhimu wa kulinda amani kama urithi wetu mku...
KANYE WEST NA NDOTO YA KILIMANJARO: TASWIRA YA AMANI NA UKUU WA TANZANIA
Wakati dunia ikitazama wapi pa kwenda kupata utulivu na vivutio vya kipekee, staa wa muziki na mfanyabiashara mkubwa duniani kutoka Marekani...
SALAMU ZA MWAKA MPYA 2026 KUTOKA KWA MWENYEKITI WA TANZANIA BLOGGERS NETWORK (TBN)
Na Mwandishi Wetu Ndugu Wasomaji na Watumiaji wa Blogu Tanzania. Tunapouaga mwaka 2025, nachukua fursa hii, kwa niaba ya wanachama wote wa T...
Tuesday, 30 December 2025
WANANCHI FUONI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KUCHAGUA MBUNGE WAO
Mkazi wa Shehia ya Migombani katika jimbo la Fuoni akipiga kura leo kumchagua Mbunge wa jimbo hilo. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taiofa ya Uch...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.