UTAMADUNI NA FURAHA: VIJANA WA KISAFWA WAONESHA TASWIRA YA AMANI MJINI TUNDUMA NKUMBI 10:53 0 Taswira ya amani na utulivu imetawala katika mji wa mpakani wa Tunduma, mkoani Songwe, baada ya zaidi ya vijana 600 wa kabila la Wasafwa kuf... Read more »
UMOJA KUWAVUSHA WATANZANIA NA WACHOCHEZI WANAOWEKA MTEGO WA UDINI NKUMBI 10:43 0 Katika hali inayoashiria kuongezeka kwa umakini wa Serikali dhidi ya mbinu mpya za "Wababe wa dunia" wanaotafuta kuvuruga mataifa ... Read more »
JINSI MARUFUKU YA BASHIRU INAVYOPIGANIA AJIRA NA WAVUVI NCHINI NKUMBI 10:43 0 Katika kile kinachoonekana kuwa ni mkakati kabambe wa kulinda uchumi wa mnyonge na rasilimali za taifa, Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Balozi Dk... Read more »
AMANI HUCHOCHEA UWAJIBIKAJI NA UPATIKANAJI WA HAKI NKUMBI 10:22 0 Imesisitizwa kuwa amani ya Tanzania ni tunu ya kipekee ambayo ni lazima ilindwe na kila mwananchi kwa wivu mkubwa, kwani ndiyo msingi mkuu u... Read more »
VIONGOZI WA JAMII KIBAHA WALAANI USHAWISHI WA VURUGU, WAHIMIZA MSHIKAMANO NKUMBI 09:39 0 Viongozi wa kijamii na wadau wa sekta ya biashara katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha wametoa wito kwa Watanzania wote kuendelea kuombea na ... Read more »
NIFFER ACHAFUKWA: "SITAKI SHOBO NA MTU, ACHANENI NA BIASHARA ZANGU!" ATISHIA KUFUTA AKAUNTI ZA WAMBEA NKUMBI 09:34 0 Sitaki Shobo na Mtu, Achaneni na Biashara Zangu!" Atishia Kufuta Akaunti za Wambea Mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu nchini, Niff... Read more »
DC NKINDA AANZA KUTATUA CHANGAMOTO YA BARABARA YA SHUNU–ZONGOMELA, KAHAMA NKUMBI 23:49 0 Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda, ameanza utekelezaji wa ahadi yake ya kutatua changamoto ya barabara iliyowasilishwa na mwanan... Read more »
WANANCHI SIHA, FUONI, KATA TANO KUPIGA KURA KUCHAGUA WABUNGE NA MADIWANI KESHO NKUMBI 20:32 0 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele leo Desemba 29,2025 amesoma risala maalum kuhusu uchaguzi... Read more »
DC NKINDA AWATAKA MADIWANI KAHAMA KUACHA ALAMA YA MAENDELEO KWA WANANCHI NKUMBI 16:43 0 Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda, amefungua rasmi semina elekezi kwa madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama leo Desemba 2... Read more »
WANANCHI WAONYA WENYE NYUMBA 'KUUZA' AMANI YA NCHI KWA TAMAA YA FEDHA NKUMBI 16:38 0 Katika kile kinachoonekana kama operesheni ya kuimarisha ulinzi wa Taifa kuanzia ngazi ya kaya, viongozi wa Serikali za Mitaa na wadau wa us... Read more »
KUTOKA KIBOARD ZA CHUKI HADI CODING ZA MABILIONI: VIJANA WANAVYOJIONDOA MTEGO WA KUKOSEKANA KWA AJIRA NKUMBI 12:35 0 Wakati Dunia ikikimbilia kwenye Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, Tanzania imechagua njia ya kipekee: Kugeuza viganja vya vijana wake kuwa viwand... Read more »
MAKAVAZI YA MUUNGANO: SILAHA MPYA DHIDI YA UPOTOSHAJI NA CHUKI ZINAZOLENGA KUIVUNJA TANZANIA NKUMBI 12:29 0 SERIKALI imetangaza kuwa ujenzi wa Makavazi ya Muungano sasa umefika ukingoni, huku ikibainishwa kuwa vituo hivyo vitakuwa "darasa la k... Read more »
TAZARA MPYA, UCHUMI MPYA: SERIKALI YAWEKA WAZI MANUFAA YA MKATABA NA CHINA NKUMBI 11:30 0 Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba ambao Tanzania na Zambia zimeingia na Chin... Read more »
VIONGOZI WATOA ONYO KWA 'MAMLUKI' WANAOCHAFUA TASWIRA YA TANZANIA NKUMBI 11:28 0 Wakati Tanzania ikiendelea kupiga hatua za kimaendeleo, viongozi wa kidini, kiserikali na wa kijamii wametoa wito mzito kwa Watanzania kut... Read more »
SAUTI ZA WANANCHI: "Amani ni Ngao Yetu, Mshikamano Ndiyo Silaha ya Maendeleo Baada ya Uchaguzi" NKUMBI 08:58 0 Viongozi wa kijamii, kidini, na kisekta wametoa wito mzito kwa Watanzania wote kudumisha amani na utulivu kama msingi mkuu wa kusukuma mbele... Read more »